Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Habari wanajamvii, naomba anaefahamu nibasi gani zuri linalotoa safari zake kati ya mwanza to Arusha,,nahitaji kusafiri hivi karibun asante

mghamba express.
Isamilo express au Mghamba pia Jordan moja ukiibahatisha kwenye ratiba ni nzuri
Panda isamilo
yaani bora upande ndege ya fastjet kwani basi ukipanda ukifika huko utachoka sana rafiki
book ticket mapema kwa fastjet ili ufike huko mapema huku ukiwa umerelax
kwani unadhani haogopi kufikwa na yale ya maleysia?
jordan ya njano yenye mneso halali
mghamba ni nouma, weka mbali na watoto
Hii bus kila mtu anaisifia ina nini cha ziada?
jordan ya njano yenye mneso halali
hatarii eeeh,,,duuh siku nikipanda ntawaambia nimepanda gari gani