Mimi hupanda gari dereva akiwa Jesus himselfSawa na we msubiri yesu awe dereva wako maana kwa sasa madereva wote ni binadamu wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Panda Extra Coach ya kupitia Bagamoyo safi sana.Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,