JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,503
- 18,312
Tukio hili linatokea sasa hivi,vyombo vya usalama vya kenya vimetumwa eneo la tukio,hatima ya abiria bado haijajurikana,chanzo ni citizen tv,habari zaidi saa tatu leo usiku,20/12/14
Mungu wangu nimepita hapo juzi
Mungu wangu nimepita hapo juzi
mpwa nina kesi na wewe
ile siku unaniambia unakuja ulikuwa safarini eeeh
mungu awatangulie
Hapana mpwa mi nipo Kampala nimeingia jana ndo maana nikwakambia nitapita Arusha nikirudi
Mungu wangu nimepita hapo juzi
[h=5]SATURDAY, DECEMBER 20, 2014[/h][h=1]Suspected al-Shabaab militants attack Lamu-bound bus[/h]TweetTukio hili linatokea sasa hivi,vyombo vya usalama vya kenya vimetumwa eneo la tukio,hatima ya abiria bado haijajurikana,chanzo ni citizen tv,habari zaidi saa tatu leo usiku,20/12/14