Basi lililozama baharini Kigamboni laopolewa huku likiwa limeibiwa baadhi ya vifaa...

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,404
24,990
Jamani HIACE iliyozama ferry imepatikana ikiwa imeibiwa kioo cha mbele pamoja na engine uko uko chini ya bahari,.

Copy and Paste!

uploadfromtaptalk1461396570172.jpg
 
Dereva akasachiwe kwao. Si bure, aliondoka navyo au tusemeje? Au chunusi sasa wanatumia magari au wanaanza kubuni magari?? Walifunguliaje huko chini ya bahari?
 
Aisee nimeona hiyo kitu Jana kwenye mitandao ya kijamii ilinishagaza sana dah cjui ni viumbe gana waliofanya hivo
 


Ina maana wakati wazamiaji kutoka navy kuikosa gari pamoja na maiti.kuna makamanda wengine wa kujitegemea walizama kwa wakati wao wakaikuta, wakaipunguzia uzito ili iwe nyepesi wakati wa kuitoa. .

Bongo nyoso.
 
Kioo sawa hakionekani kwenye picha na siyo lazima kiwe kimeibiwa unless mtu aweke ushahidi jinsi kilivyoibiwa.

Na nitaamini vipi hilo gari kwenye picha halina engine?

Labda kama hii ni "furahisha genge" tu hapo sawa.
 
Nyumbu bwana. Mna shida sana. Mkiona kitu hebu jaribuni basi kuchemsha bongo zenu na msifuate mkumbo tu. Pressure ya maji inatosha kabisa kufanya mipira iliyoshika kioo iachie na kioo kitoke.
 
Duhh, ina maana kuchelewa koote kulitoa kumbe kuna watu walikuwa chini ya bahari 'wakiitengeneza' hiyo Hiace.
 
Back
Top Bottom