figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,137
Yakiendelea kuua madereva na makondakta watakuwa makini kuzuia hizo ajali.(dereva na konda)Ijumaa moja ya Basi la Kampuni ya Super Feo lilipata ' ajali ' na likaua ' Dereva ' tu na ni jana Jumamosi Basi la Kampuni hiyo hiyo ( Super Feo ) lilipata ' ajali ' na likaua ' Kondakta ' kitu ambacho kiukweli ' kimetutisha ' sisi Wasafiri wa ' Kutukuka '.
Je hili jambo linaashiria nini?
Nawasilisha.
Ajali ni ajali tu mkuu
Kawaida inakuaje sasa mkuu?Hii ya jana Dereva halafu leo Kondakta sidhani kama ni ya kawaida Mkuu. Nina wasiwasi isije ikawa atakayefuata hapo akawa ni ' Mmiliki ' wake sasa.
Enzi tukiwa pale NJOSS story zilikua ndo hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa sinahusishwa na imani za kishirikina nilisikia kitambo kipindi nipo Njombe. Kulikuwa hakuna ziendazo Dar
Mmiliki wake yupi huyo?Hii ya jana Dereva halafu leo Kondakta sidhani kama ni ya kawaida Mkuu. Nina wasiwasi isije ikawa atakayefuata hapo akawa ni ' Mmiliki ' wake sasa.