ntakupiga BUN tena wewe, kwenye nyekundu hapo ajali zingine wanazisababisha haya wajinga!mbona umetanguliza kuwa ni la mwanasiasa? hii ni ajali mkuu, tuwaombee majeruhi wapone haraka na kuwapa pole wafiwa wote
wamekufa wangapi?
Mbona umeandika basi la mwanasiasa?
Pole
Pinda si mwanasiasa?
Pinda ana hela hata ya kumiliki basi moja??? Salim Sumry is one of the richest person kule Sumbawanga, kama hujawahi kufika nenda ujionee, hayo mabasi ya Sumry yalikuwepo miaka mingi kabla ya hata Pinda hajawa PM, uache ushambenga kwa kitu usichokijua...mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Serikali iko mifukoni mwao.meshaky pole sana,hawa waarabu watatumalizia ndugu zetu,serikali iko wapi?????
ntakupiga BUN tena wewe, kwenye nyekundu hapo ajali zingine wanazisababisha haya wajinga!
from sumbawanga..Pinda si mwanasiasa?
Duh! Sasa huyu bwana anakuwaje mtoto wamkulima? aaaaaah!Nasikia hisa nyingi ni za MKPP
Kama itakubalika kuwa sumry ana mabasi mengi sana basi watu wa takwimu wanaweza wakakusaidieni ninyi watu wa kuhesabu ajali mbili kwa wiki ndani ya kampuni moja. Kwamba kitakwimu inaweza ikawa mwenye mabasi 8 na akawa anapata ajali moja kila baada ya miezi sita ni hatarishi zaidi kuliko huyo sumry. Ima hili neno mwanasiasa mi naona mtoa mada ni mwana siasa zaidi ndiyo maana akakurupuka na neno mwanasiasa