jina la shule halina mahusiano na elimu inayotolewa na shule husika, tatizo letu ni kutafsiri kwa tunavyofikiria ila ukichunguza kwa makini utaona ni kawaida tu kama yalivyo maneno mengine.
hii picha ilishatoka muda mrefu humu,wengine nahisi walikuwa bado sio memba!!!!lakini picha na maudhui hayana shida kabisa....!!!kila neno lina maana yake kwa jamii na lugha husika.