Taarifa za kufunguliwa leseni yake mbona hazijawekwa wazi ila nashangaa haya mabasi kuanza safari tena. Hii nchi kazi kweli kweli. Poleni mliokumbwa na masaibu.
Gharama ya rushwa ni kubwa sana na haiishii kwenye grand corruption pekee kama Escrow hapana from bottom to up. Rushwa inanuka kila sehemu unatarajia nini kitatendeka kwa haki nchi hii? Ni ngumu sana. Ndio maana mwalimu alikuwa mkali sana kwenye rushwa kwenye levels zote.