y-n
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,391
- 2,514
Shemeji kumbe dada yako hajatulia au alikua alikua anafanya biashara ya supu ya kitimoto.
Haswaaaaaaaa.....
Shemeji kumbe dada yako hajatulia au alikua alikua anafanya biashara ya supu ya kitimoto.
Wakazi wa Babati na Magugu wawe makini na nyama zitakazouzwa mabuchani leo na Kesho.
Liliwafuata porini au ng'ombe walikuwa barabarani? Sheria ya nchi hii hairuhusu ng'ombe kuchunga, au kupitishwa barabarani wakitembeaHatufanani uelewa,mimi nimeona basi likigonga ng'ombe.