Dar ArushaHili basi linapiga route za mikoa gani??
kiyoyozi na mvua yote hii!?, labda anawasha heaterNimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
Watu wanalazimisha kiyoyozi utadhani tuko nchi ya joto kali kama Sudan . Kama basi lina madirisha ya kufunguka just slide kidogo kioo upate hewa natural.kiyoyozi na mvua yote hii!?, labda anawasha heater
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahaaaa kama nakuona mkuu ulivyolala unaota kiyoyozi, jamaa watakuwa wamekukata stimu kinoma, Pole sana mkuu
Hili Basi au Kampuni ya Kidia ina wahudumu Wahuni anzia dereva na Kondaktas! Nilipanda wakanipitiliza kituo japo niliwasihi kabla. Majibu yao yalikuwa kwa nini hukupanda hayo magari yanayokushusha hapo. Tangu siku hiyo sitokaa nipande Kidia wala kurekomendi ndugu au rafikiNimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
MKUU,sasa unataka saa 12 asubh wakuwashie AC?Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
[emoji23] [emoji23] aisee zingatia lililokufanya upande basi(safari) sasa hizo nyongeza zisikutoe Imani, Si tumezoea Darlux ac mwanza mwisho na vioo wanalock,maana kuna walugaluga hawachelewi kufungua vioo Wakati A/c ipo kaziniPia walisema watagawa pipi na maji mpaka sasa sioni dalili za kugaiwa izo pipi. ..mmliki wa kidia one tunaomba msaada tafadhali