Basi la Kampuni ya Vitu Line lapata ajali Iringa

poleni sana majeruhi pamoja na wafiwa
 
RIP kosa ni la wana usalama barabarani, hyo kitu imetoka hadhi ya basi ni kitu kingine kabisa
 
Poleni Wafiwa! Ugua Pole Majeruhi, Ila Mamlaka Husika Wayaangalie Haya Magari
 
Dah huu ndo usafir wangu wa kwenda huko nakotafutia ridhiki...yaan ingekuwa ijumaa au jumatatu nadhan ningekuwa nimrest in peace maana ndo siku nazosafir na huu mdubwana
 
umri wa basi unazidi wa dereva! sijui vipuri vinapatikana wapi? au wanakazia kamba bora injini izunguke. poleni sana wafiwa. majeruhi nawatakia uponyaji wa haraka.
japo nna mackitiko ila imebd ncheke tu. yan umri wa bas unazid wa dereva na konda wake.
 
Poleni wadimi, ila jamani mkoa wa Iringa unaongoza kwa mabasi mabovu na ya kizamani.Hasa wilaya ya Mufindi mabasi ya Kwacha tokea 1980 hadi leo yapo barabarani.Iringa mjiongeze bhana!
 
Poleni wadimi, ila jamani mkoa wa Iringa unaongoza kwa mabasi mabovu na ya kizamani.Hasa wilaya ya Mufindi mabasi ya Kwacha tokea 1980 hadi leo yapo barabarani.Iringa mjiongeze bhana!
Sio mufindi ni kilolo pia gari za kampuni ya kwacha kwasasa ni nzur sana ameleta nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…