johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Ndio njia hiyohiyo Nyabula Kilolo Kidabaga Boma la ng"ombe itelewasi hadi Mufindi.Huko unazikuta ngalangala za Kwacha na Upendo.Basi wanalolisifia ni Mwafrika la Idete kijijini kwa mbungeSio mufindi ni kilolo pia gari za kampuni ya kwacha kwasasa ni nzur sana ameleta nyingine