Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,672
- 18,552
Nikilijua Basi analo endesha Mwanamke kwanda mkoani kuanzia kilomita 500 sipandi.Kwa TILISHO yupo mmoja.
Labda kwenda Morogoro. Wanalazimisha kazi ambazo hawaziwezi.
Nikilijua Basi analo endesha Mwanamke kwanda mkoani kuanzia kilomita 500 sipandi.Kwa TILISHO yupo mmoja.
Unaongea ukweli. Kuna kazi mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu, haitakiwi kabisa kubalansi jinsia.Nikilijua Basi analo endesha Mwanamke kwanda mkoani kuanzia kilomita 500 sipandi.
Labda kwenda Morogoro. Wanalazimisha kazi ambazo hawaziwezi.
Ila wanawake.... kazi ya suruba hivi kutafuta nini? Usurper woman? Will choose soft work everytimeUendeshaji wa malori ni mgumu sana.
Unapita kwenye misitu ya kutisha huko ndani ndani na pengine usiku wa manane.
Baadhi ya nchi Kama Kongo kuna njia zinapita kwenye maeneo ya waasi na hata maaeneo ya wezi wa mizigo kwenye malori.
Ni kazi mgumu sana hiyo. Kuna baadhi ya madereva wanauliwa na wezi wa mizigo. Dereva unatembea na marungu na majambia ya kujihami wakati wa hatari ya wezi.
Kuna njia mgumu sana baadhi ya maeneo kama milima mikali na kona za hatari huku mzigo mzito ndani ya Lori lenye hitilafu za kiufundi.
Kuna kuharibikiwa msituni, nchi ngeni. kuna vibwengo vya kukabiliana navyo barabarani
Ufike uanze kusotea mzigo kupakuliwa na kupakia. Ni kazi mgumu sana.
Mwanamke hawezi kabisa hii kazi ndugu. Kazi ya kukunja tu yale maturubai wanayofunikia mizigo ni lazima msuri mzito uhusike.
Waacheni akina Mama watayarishe chakula nyumbani.