Mmoja hawezi, wanasaidiwaga na Utingo wao.Kuna wanawake wanasukuma tank Dar - Ndola(Zambia)
Stori za vijiweni hizo jamaa kaanza kitambo toka kwenye coaster,,isuzu,yutong,,zhengtong na sasa Polo G7,,kila mtu akiwa na hela basi uwekezaji basi lazima muwazushie wanasiasa,,Rubber stamp wa Anna Makinda huyo.
Unaonekana una taarifa. Hebu tujuze nasi.R.i.P Classmates....😪
Hiyo miundo mbinu itaboreka lini?.matumizi ndiyo yatakayoleta maboresha.Dunia haisimami.Tusipokua tayari kufanya matumizi hatuwezi kujua mapungufu ya miundo mbinu yetu.Halafu bado wameruhusu safari za usiku... Serikali isitishe maana miundo mbinu yetu bado
Ndio mmiliki wa Super Feo?
Huyo ana mikwara mingi kila muhanga ni classmate wake.Unaonekana una taarifa. Hebu tujuze nasi.
Mbona hao waliopata ajali ni wa kiume?Madereva wakike hawawezi kuendesha magari ya masafa marefu.
Ukweli lazima usemwe, nguvu yao ni ndogo kuweza kuhimili mwendo mrefu.
Kwasasa wanaendesha wanaume tu mabasi ya mikoani.Mbona hao waliopata ajali ni wa kiume?
Ajali ni ajali Mkuu,wala haijali jinsia.
Siyo kwamba wameshindwaKwasasa wanaendesha wanaume tu mabasi ya mikoani.
Wanawake waliojaribu wameshindwa.
Nguvu ndogo.
Huyu bibi atapata pressure,moja lake si ndo lilimkata mkono yule sister wetu mwamba wa kusini lilimshinda likapiga chini
Wanawake kazi za suruba wapi na wapi.Kwasasa wanaendesha wanaume tu mabasi ya mikoani.
Wanawake waliojaribu wameshindwa.
Nguvu ndogo.
Msimamizi tu wa Kodi zetuIla ommy hayupo mwenyewe
Yaani utembee masaa 4 Dar - Moro then upumzike hadi kesho! Si inakuwa safari kama ya wana wa israel!Mmoja hawezi, wanasaidiwaga na Utingo wao.
Pia Tanki linaenda Safari fupi fupi na kupumzika.
Akitoka Dar analala Morogoro hapo ndio katembea sana. Kutuo cha pili Makambako. Nk.
Kwa TILISHO yupo mmoja.Kwasasa wanaendesha wanaume tu mabasi ya mikoani.
Wanawake waliojaribu wameshindwa.
Nguvu ndogo.
Uendeshaji wa malori ni mgumu sana.Yaani utembee masaa 4 Dar - Moro then upumzike hadi kesho! Si inakuwa safari kama ya wana wa israel!