Basi la kampuni ya Superfeo express lapata ajali, leo Oktoba 7, 2023

Basi la kampuni ya Superfeo express lapata ajali, leo Oktoba 7, 2023

Basi za Safari ndefu lazima ziwe na madereva wawili.
Na wote wawe vijana wakiume wenye nguvu.
Uchovu wa madereva unapelekea ajali.

Wenye mabasi muwe mnajali usalama wa Abiria.
 
Huko Mchinga si ndiko jingine lilipata ajali likasababisha driver wa kike kukatika mkono
 
Huko Mchinga si ndiko jingine lilipata ajali likasababisha driver wa kike kukatika mkono
Madereva wakike hawawezi kuendesha magari ya masafa marefu.
Ukweli lazima usemwe, nguvu yao ni ndogo kuweza kuhimili mwendo mrefu.
 
Haya mabasi ya feo yanapata ajali kila baada ya mwezi yanaua na huwez kuta taarifa popote iwe radion au tv na yanapendwa kweli kusini
 
Mwenye taarifa zaidi jamani......
huwez pata taarifa popote niamin mimi shukuru huyu alieleta yupo jf lakin hata usingesikia, feo yupo lafu sana kwenye barabara toka nianze kusikia ajar ya hizi basi hiyi itakuwa ya 7 kwa huu mwaka na hutosikia popote. Utajiuliza we unajuaje? Hilo hupaswi kujua
 
Back
Top Bottom