Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Basi la Kampuni ya Princess Muro, limepata ajali jioni hii Jumatano Mei 7, 2014 katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro likitokea Mkoa wa Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kwa kuacha njia na kupinduka.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, yeyote ambaye amefanikiwa kufika katika eneo hilo au kuwa na taarifa zaidi tunaomba atuambie.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, yeyote ambaye amefanikiwa kufika katika eneo hilo au kuwa na taarifa zaidi tunaomba atuambie.