mizigo mikoa yote
Member
- Dec 2, 2023
- 19
- 28
400000Kwani nauli hadi SA ni kiasi gani?
Basi ilo linalofanya safari yake kati ya dar es salaam kwenda South Africa limepata ajali eneo la kabwe (zambia)
Taarifa zaida wataleta wahusika wa kampuni.
Duuh, na ndege ni how much kwani?400000
700 mpaka 800 inategemeana na umekata linDuuh, na ndege ni how much kwani?
Laki 4Kwani nauli hadi SA ni kiasi gani?
4Duh!
Halafu basi lenyewe si lipo moja tu lile...
Ana mabasi mengi sana kayanunua mwaka huu. Niliyaona Shekilango.Duh!
Halafu basi lenyewe si lipo moja tu lile...
Kwanini umekimbilia kuleta taarifa ilihali haijakamilika unakimbilia wapi au umekwapua begi la muhanga!Basi ilo linalofanya safari yake kati ya dar es salaam kwenda South Africa limepata ajali eneo la kabwe (zambia)
Taarifa zaida wataleta wahusika wa kampuni.
Njiani mnasafiri siku ngapi?400000
Bonge la Tour400000