Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,562
Laki 7 ,go n returnKwani nauli hadi SA ni kiasi gani?
Laki 7 ,go n returnKwani nauli hadi SA ni kiasi gani?
Mmh 3-4 daysNjiani mnasafiri siku ngapi?
Ana mabasi mengi sana kayanunua mwaka huu. Niliyaona Shekilango.
Mwezi September yalipita Shekilango yakiwa bado hayana number platesBasi itakuwa kayaongeza, mwanzo walikuwa na basi moja tu linaenda na kurudi...
Siku 3Njiani mnasafiri siku ngapi?
Mmh.Basi ilo linalofanya safari yake kati ya Dar es Salaam kwenda South Africa limepata ajali eneo la Kabwe (Zambia)
Taarifa zaida wataleta wahusika wa kampuni.
View attachment 2839594
Nauli ya ndege (one-way)Bonge la Tour
SifahamuNauli ya ndege (one-way)