Basi la kampuni ya Maning Nice lapata ajali Mlima Usambara

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,211
Basi kampuni ya maning nice inayofanya safari zake kati ya Lushoto kwenda dsm imapata ajali kwenye mlima wa usambara

Chanzo cha ajali iyo ni kupata itirafu kwenye mfumo wa brake

Hakuna madhara yoyote kwa abiria

===

#HABARI: Abiria zaidi ya 60, waliokuwa wakisafiri kutoka wilayani Lushoto, kwenda mkoani Dar es Salaam kwa kutumia basi la kampuni ya Maning Nice, lenye namba za usajili T 122 DEA, wamenusurika kifo baada ya breki za basi hilo, kushindwa kufanya kazi kwenye mteremko mkali wa milima ya Usambara, mkoani Tanga.
.
ITV imezungumza na dereva wa basi hilo aliyejulikana kwa jina la Twariki Abdallah, ambaye amesema kuwa gari hilo liliishiwa upepo, hivyo aliamua kuliingiza kwenye gema, ili kuepuka madhara zaidi.

#ITVUpdates
 
Duuh Mungu aturehemu
 
Basi kampuni ya maning nice inayofanya safari zake kati ya Lushoto kwenda dsm imapata ajali kwenye mlima wa usambara

Chanzo cha ajali iyo ni kupata itirafu kwenye mfumo wa brake

Hakuna madhara yoyote kwa abiria
Ile ya jana ya New Force Kitonga ilifunikwafunikwa haijaelezwa walikufa wangapi, majeruhi wangapi
 
Basi kampuni ya maning nice inayofanya safari zake kati ya Lushoto kwenda dsm imapata ajali kwenye mlima wa usambara

Chanzo cha ajali iyo ni kupata itirafu kwenye mfumo wa brake

Hakuna madhara yoyote kwa abiria
Waziri mkuu ametangaza mabasi yatembee usiku, ila yeye hapandagi hayo mabasi!!!
 
Ngoma ilikua inapaa hioo

Attachments

  • Screenshot_20230703_163554_Lite.jpg
    41 KB · Views: 20
  • Screenshot_20230703_163340_Lite.jpg
    32.9 KB · Views: 21
Poleni sana wasafiri, Ashukuriwe Mungu kwa kuwatoa salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…