Basi la kampuni ya Kiazi kitamu lapata ajali

Basi la Kampuni ya KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023....
Nadhani linaongoza kwa kukimbia njia ya Mwanza Arusha,hatari sana hiloa
 
Nadhani linaongoza kwa kukimbia njia ya Mwanza Arusha,hatari sana hiloa
Hilo ndio Gari ambapo route ya mwanzađź”›Arusha linamwendo Mdogo Sana sio tuu kwenye kampun bali kwa Gari zote.

Ipo chuma ambayo Kiazi Kitamu hawawezi iuza na Asante rabi anaiombea mabaya hyo inawakilishwa na plate number DGE hapo hata KATARAMA na Ally's wanasubiri
 
Scania 320 iyo mzee. Alafu ndani 3Ă—2
 
Hyo gari hamna siku unaipanda isiaribikie njia...kama so singida basi itakuwa shinyanga...Yan ishakuwa kama Ni utaratibu...ila ss hiv imeamua ilale kabxa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…