kiazi kitamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni

    Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni Changamoto ya kiazi kikubwa lazima ukikatekate jambo ambalo linapoteza muda na mara nyingi vinashambuliwa na wadudu na kuoza ukilinganisha na viazi vidogo .. Faida yake tu ni kwamba...
  2. wakukurupuka1

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Kiazi kitamu lapata ajali

    Basi la Kampuni la KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023. Taarifa za Vifo bado hatujapokea zaidi ni majeruhi ya wahanga wa ajali hiyo.
Back
Top Bottom