Basi la kampuni ya Hood toka Arusha-Mbeya lapata ajali mbaya hapo Wilaya ya Mwanga

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Habari zilizonifikia kwa simu ni kwamba bus la kampuni tajwa limepata ajali mbaya baada ya kupasuka tairi ya mbele na limeua.

Hz ajali kwa kweli zinatisha.

=== Picha====

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    23.1 KB · Views: 765
  • 2.jpg
    2.jpg
    32.2 KB · Views: 751
Mwenyenzi Mungu awape pumziko la milele marehemu wote. Na hata majeruhi wapone mapema!
 
(innaa lillahi wa innaa illayhi raaji'uwn)
"hakika sisi sote ni wa mwenyezi mungu na hakika kwake ndio marejeo yetu".
Poleni wote mlioathirika kwa ajali hii. Mwenyezi mungu awaponye majeruhi wote. Amiin
 
Hizi ajali jamani zitatumaliza, walazwe mahali panapostahili marehemu na majeruhi wapate nafuu.
 
Lol! Hili janga nalo! Kila kukicha ni kheri ya jana!

Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema wape Watanzania kuepuka ajali hizi ya kila leo!
 
Mungu aturehemu kwa umoja wetu!!!!


Ila jamani hiyo route ya Arusha - Mbeya na Iringa - Mbeya na hiyo ligi ya Abood na Hood kwa wanaoijua tuendelee kuomba salama!!!!!!!!
 
Natamani kuwapostia picha but natumia JF mobile na sioni option ya kuupload picha...naomba kuelekezwa.
 
Mkuu ni ya leo hiiau maktaba? Mbona sioni posibility ya ajali ya namna hii kusababisha vifo? Labda kwa wapita njia na kama ni burst basi ilikuwa kwenye mwendo wa kawadia sana hata 80KPH ni kubwa.

Hata ndege ile ya Malaysia haijapatikana lakini picha zipo mkuu.........:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:

article-0-1C1EB61D00000578-344_634x406.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom