Hii kampuni imeshachoka kila siku matukio mara yaungue moto.
Usafiri wa Nairobi uhakika ni Tahmeed na Dar Lux tuu
Kuungua moto hawajasikia wanasema ajali ni wengine.
Hii kampuni imeshachoka kila siku matukio mara yaungue moto.
Usafiri wa Nairobi uhakika ni Tahmeed na Dar Lux tuu
Basi limelala….jambo la kushukuru hakuna madhara makubwa sana yaliyopelekea vifo.
Majeruhi na wahanga warejee kwenye hali zao upesi.