mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Mpanda Igunga saa hizi kweli?Wewe ndiye uliyekurupuka!
MPANDA-TABORA-NZEGA-IGUNGA-DAR.
Sasa mkurupukaji+ ni nani kama si wewe?
Mpanda Igunga saa hizi kweli?Wewe ndiye uliyekurupuka!
MPANDA-TABORA-NZEGA-IGUNGA-DAR.
Sasa mkurupukaji+ ni nani kama si wewe?
Ila ajali ipo, acha kumdhihaki tafuta uhakika utujuze na wewe, tuna ndugu zetu wamesafiri hukobasi linalotoka mpanda halipiti nanga mkuu, nanga ni igunga
acha kukurupuka basi
Hapana Kwa Sasa njia ya Tabora itigi ni nzuri na fupiWewe ndiye uliyekurupuka!
MPANDA-TABORA-NZEGA-IGUNGA-DAR.
Sasa mkurupukaji+ ni nani kama si wewe?
Hiyo ya bus la happy nation leo ni kweli?Ajali::; nyingine nimepost