Basi la happy nation lapata ajali

Basi la happy nation lapata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,204
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya mpanda kwenda dsm limepata ajali eneo la nanga tabora.

Chanzo cha ajali iyo ni mwendokasi wa dereva wa basi ilo

Taarifa ya vifo na majeruhi zitatolewa na mamlaka husika
 
Malekebisho basi ilo lilikua linatokea mwanza kwenda dsm mpk sasa kuna vifo vya watu wawili
 
IMG-20230704-WA0008.jpg
IMG-20230704-WA0007.jpg
 
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya mpanda kwenda dsm limepata ajali eneo la nanga tabora.

Chanzo cha ajali iyo ni mwendokasi wa dereva wa basi ilo

Taarifa ya vifo na majeruhi zitatolewa na mamlaka husika
basi linalotoka mpanda halipiti nanga mkuu, nanga ni igunga
acha kukurupuka basi
 
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya mpanda kwenda dsm limepata ajali eneo la nanga tabora.

Chanzo cha ajali iyo ni mwendokasi wa dereva wa basi ilo

Taarifa ya vifo na majeruhi zitatolewa na mamlaka husika
Sasa bila picha

Ilo bas lilikuwa linatoka wapi mkuu
 
Umefanya kama jina lako
Huyu jamaa hii mara ya pili kuleta habari zisizokamilika,majuzi alileta habari ya ajali ya bus la New Force hivyo hivyo akiwa mbio mbio anaonekana kama siyo dereva wa bus basi ni dereva wa lorry anaandika haraka haraka huku akiendesha.

Mleta mada na wewe angalia usije ukaangusha chuma park pembeni post kitu kinachoeleweka kisha endelea na safari yako.
 
Tatizo kubwa linakuwaga mwendo, ukiwa bati sana unaloose control.
 
Back
Top Bottom