Basi la Gameti lapata ajali

Ajali ya basi katikati ya maeneo ya mtawanya

Mtembea kwa miguu agongwa hadi kufa basi nalo lapinduka na abiria wengi wameumia
 

Attachments

  • 1429007383550.jpg
    178.1 KB · Views: 684
dah!king of the road yupO chini keo kwa bararbara ya kusn jamaa anakimbiza xana. pole yao wote wliopatwa na ajali hyo
 
Nimekuta ujumbe kwenye group ya watsapp ikisema kuwa leo imetokea ajali nyingine ya basi la Gamet limepinduka, lilikuwa likitoka kusini kuja dar

Sijajua kuhusu majeruhi wala vifo, mwenye taarifa zaidi atatujuza
 

Attachments

  • 1429010155650.jpg
    143 KB · Views: 664
Huu mwezi ni wa kipekee sana kwa ajali. Ila pia utandawazi huu unasaidia sana kuzijua hizi ajali. Siku za nyuma ajali zilikuwepo ila hazikuwa zinatangazwa na kujulikana kama cku zetu hizi ambazo kila kitu ni kiganjani
 
Mh! sisafiri tena mwaka huu nisijeishia maporini
 
Tufanye udadisi kidogo huenda tutapata chanzo chz hizi ajali:-
1.je ni mabasi aina gani (sacnia, youtong) yanaanguka sana?
2.je ni mabasi ya kampuni gani yanayoongoza kupata ajali?
3.je ni njia ya kuelekea mkoa gani ambayo ajali nyingi hutokea?
4.....................................
 
wazee wa uwaza uchawi!

Hivi uzunguni hawafanyagi chaguzi kuu?

Huko kwao nako ajali hutokea nyakati za general election/kueleka general election?

Waafrika bwana. Tukifikiria saaana, critical thinking yetu ni uchawi tu.!
 

Point!!!!
 

Mimi Najibu Swari La Kwanza
1. Youtong
 
Ee mungu tustiri na majanga haya.mie mwenyewe niko safarini ila roho mkononi.niombeeni wakuu nifike salama
 
Wananchi waweke mgomo wa kupanda chochote na kutembea kwa siku 2 kupinga ajari hiz
 
Hizi ajali kama zimejiunga xtreme!!! ehee Mungu tuepushie balaa hili mana kila kukicha tunapoteza ndugu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…