dar hii hatari sasa,fikiria kama lingekuwa linendelea na safari,ilikuwa nikasheshe eti,,,!vp lkn hakuna walioathirika?mtujuze mlioko huko ua wenye habari kamili
Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii
0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first
Kuna wakati lilipoungua Mohamed trans wakafa abiria wengi, iliwekwa sheria kuwa kila basi liwe na mlango/milango ya dharura... Walidhibiti kwa kipindi fulani, alipoingia mkuu wa traffic mwingine ikaisha. Siku hizi mabasi kama chupa tu...
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote