Basi la Dar Express lapata ajali Wami

Basi la Dar Express lapata ajali Wami

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
448
Basi la kampuni ya Dar express limepata ajali maeneo ya Wami, Kabla ya mteremko wa kufikia daraja la Wami.

===== Updates ======
attachment.php


Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami.

Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo.

Chanzo: Radio One Stereo


 

Attachments

  • IMG-20140509-WA0020.jpg
    IMG-20140509-WA0020.jpg
    93.8 KB · Views: 10,297
Vp hali ya majeruhi..n dar exp ya kwenda wapi
 
Hebu tufafanulie kidogo gari lilikuwa linatoka wapi na linaenda wapi.Na vipi kuhusu hali ya abiria?
 
ahsante kwa taarifa mkuu, hebu fuatilia kwa ukaribu zaidi tupate taarifa zaidi,.
 
Haya mabus yameanza kuchoka sana juzi nimeliona moja linafoka moshi na lina misi kibao mpaka ikabidi lisimamishwe kwanza


Poleni sana ndugu zetu na majeruhi.
 
Hukivuka wami kama waelekea Tanga kuna fuso limeangu limebeba nyanya
 
Ukivuka kwa msisi kuna Lori la cement linatokea tanga limeanguka
 
Tupe maelezo yaliyo kamili maana hatuelew kama lilikua na abiria na hali zao ziko vipi?hebu mwenye taarifa kamili atujuze tuelewe


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile...
 
attachment.php


Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami.

Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo.

Chanzo: Radio One Stereo


 
huu mchezo wa wana JF kudai picha ya kila tukio sio mzuri maana watu ikitokea tatizo wao wanakimbilia kupiga picha kwanza
 
Back
Top Bottom