johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,012
- 142,046
Una matatizo wewe kisa kuuliza ni Wazanibar basi umepanic.Karne ya 21 middle class wa kitanzania anakuja na uzi kama huu wa kibaguzi,kweli nchi hii sijui nani katuloga why until now tuna colonial hangovers? Why mpaka leo hii kitu bado tunayo? Waliopata ajali ni binadamu kama sisi na ni Watanzania na watambuliwe hivyo huku Lingusenguse tuna watanzania sio wandendeule au wangoni au wamanda etc etc
Kwanza tunahitaji kujua kama ni Wazanzibar, then tunatakiwa kujua ni Wapemba au Waunguja.Mara wazanzibar mara waunguja sasa tukueleweje?
Pole msukuma!!Ndio wenye nchi kwa sasa .
Wasukuma hao wanatapatapa!Lengo lako hasa ni nini? Hao ni watanzania wamepata ajali.
Ni wakumpuuza uyo msukumaMara wazanzibar mara waunguja sasa tukueleweje?
Hahahaaaa, mimi ni mrombo bwashee!Wasukuma hao wanatapatapa!
Shimboni shafo mrku!Ni wakumpuuza uyo msukuma
Ana hoja kuuliza hivyo, yani hoja yenyewe ya msingi ni je ni coincidence kuwa watu kutoka kanda moja ndio waliokuwa kwenye hilo basi au labda ilikuwa basi limekodishwa au kuna kitu gani.Uzi wa kibaguzi huu
duu, GREAT THINKER huyo anaongea na magreat thinkers wenzie wanaompatia ma'likes' km yote!!!Ndio wenye nchi kwa sasa .