Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Ni kampuni mpya hii au ipo siku nyingi!? Tupeni updates mkuu na hizo pichaBus la Bukoba express lilikuwa likitoka Dar es salaam kwenda Bukoba limepinduka uko Kahama.
hakuna aliyekufa ila kuna majeruhi tu. picha ninayo nitaiweka sasa hivi wazee wa picha mvute subira .
Hata mimi siifahamu hii kampuni,labda ni mpya!Ni kampuni mpya hii au ipo siku nyingi!? Tupeni updates mkuu na hizo picha
Picha plz
Weka picha
Ni kampuni mpya hii au ipo siku nyingi!? Tupeni updates mkuu na hizo picha
Hata mimi siifahamu hii kampuni,labda ni mpya!
!
!
kwa nini hujaweka sasa kama unayo?
Huu Mkoa wa Bukoba ni miongoni mwa Mikoa mipya atakayoizindua Rais nini?
Huu Mkoa wa Bukoba ni miongoni mwa Mikoa mipya atakayoizindua Rais nini?
Bukoba ni wilaya ambayo hipo mkoa wa Kagera,na pia kuna wilaya ya Bukoba mjini na vijijini,kama umeona sehemu Bukoba ni mkoa ujue ni makosa ya kawaida tu kama wengi wanavyojua songea ni mkoa au moshi