Basi la Bukoba Express lapinduka huko Isaka Kahama asubuhi ya leo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Bus la Bukoba express lilikuwa likitoka Dar es salaam kwenda Bukoba limepinduka uko Kahama.

hakuna aliyekufa ila kuna majeruhi tu. picha ninayo nitaiweka sasa hivi wazee wa picha mvute subira.



MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS T 315 BLC BAADA YA KUANGUKABASI LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA BUKOBA MUDA MCHACHE BAADA YA KUANZA SAFARI ALFAJIRI YA LEO KUTOKA LILIPOKUWA LIMELALA,TAYAR KUANZA SAFARI YA KUELEKEA BUKOBA!!!
 
Bus la Bukoba express lilikuwa likitoka Dar es salaam kwenda Bukoba limepinduka uko Kahama.
hakuna aliyekufa ila kuna majeruhi tu. picha ninayo nitaiweka sasa hivi wazee wa picha mvute subira .
Ni kampuni mpya hii au ipo siku nyingi!? Tupeni updates mkuu na hizo picha

 
OOOOOOOOOOOH.....my GOD......vipi RWEYEMAMU....kapona.???........ndio kwanza kapata ajira pale world bank...baada ya kumaliza HAVARD..........wakora waitu........nirimwambia akodi ndege yeye kajifanya mbishi......itabidi tumpeleke ISRAEL akafanyiwe check up na back up...........WAKORAAAAAAAAAAAA
 
Huu ni msimu wa hata yale mabasi mabovu kuingia barabarani kutokana na wingi wa abiria. Yatupasa tuwe makini sisi abiri wakati wa kuchangua chombo cha kusafiri nacho msimu huu wa sikukuu.

Vile vile madereva msimu huu wa sikuu hukesha kwenye ulevi na kesho yake wanaamkia barabarani kama ile ajali ya Longido iliyoua watano jana asubuhi
 
Huu Mkoa wa Bukoba ni miongoni mwa Mikoa mipya atakayoizindua Rais hivi karibuni?
 
Huu Mkoa wa Bukoba ni miongoni mwa Mikoa mipya atakayoizindua Rais nini?

Bukoba ni wilaya ambayo hipo mkoa wa Kagera,na pia kuna wilaya ya Bukoba mjini na vijijini,kama umeona sehemu Bukoba ni mkoa ujue ni makosa ya kawaida tu kama wengi wanavyojua songea ni mkoa au moshi
 
Bukoba ni wilaya ambayo hipo mkoa wa Kagera,na pia kuna wilaya ya Bukoba mjini na vijijini,kama umeona sehemu Bukoba ni mkoa ujue ni makosa ya kawaida tu kama wengi wanavyojua songea ni mkoa au moshi

Nakutania Mkuu, nimekuelewa vizuri tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom