basi la azam fc

Basi la kichina million 138 vat including so ni kawaida wanunue irizar polo ya brazil ndio tusifie mchezaji anakaa kwenye basi masaa 8 bila kuchoka
 
SISI tunangoja la kupewa na TBL
Hii kitu imepanda bei kimya kimya asee!!!

kili_ad.jpg
 
Hii ni timu ambayo imefanyiwa uwekezeji thabiti siyo timu zingine ambazo hutembeza bakuli la ombaomba wanatakiwa kuiga kwa Azam fc
 
Wataipeleka soka ya bongo anga nyingine.maana tulizidi kung'ang'ania timu zenye wanachama kibao ambao hawana uwezo hata wa kuchangia ada za uanachama.
 
Hivi mmewahi kujiuliza kwa nini kuna viongozi waliopitia Simba na Yanga na kuingia kwanye siasa kwa chama hicho kikuukuu? Fikiria watu kawa hao unategemea wangeziletea nini hizo timu kongwe?
 
Mpaka leo wanatumia vipanya stupido kweli!hivi vilabu watu wanakula pesa na kugombea viingilio!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya timu ya mtu binafsi(ukoo) na timu za wanachama unakosea sana unapofananisha simba.yanga na azam,unatakiwa kuifananisha azam na tp mazembe ya moses katumbi cos ni club zinazo milikiwa na mtu,simba na yanga zitabaki kuwa lengend timu cos hapa mapato zinapokutana zinyewe hufika hadi bilioni,so mabac yetu yanakuja kwa udhamini wa tbl,tunaipongeza azam na si kutubeza sisi kwa mafanikio yao ss tunayachukua kama changamoto tu,ila sio kutubeza

Arsenal ni timu ya mtu binafsi au ya wanachama?
 
Muulize huyo mkuu mwenzetu anayeponda YUTONG. Kama nimemwelewa mwanzisha mada ni kwamba basi la AZAM ni zuri, zuri tena sana kwa kulinganisha na timu nyingi hapa Tanzania, na Afrika Mashariki. Timu nyingi hazina mabasi ya kiwango hicho. Kwa sasa SIMBA na YANGA pia wana YUTONG walizopewa na Wadhamini. Lakini timu nyingine zinatumia COASTER au MIN-BUS.
 
Yaani kwa style hyo wakifika tu uwanjani lazma timu pinzani iathirike ki saikolojia yani iwape heshima zote kabla ya kupewa dozi.
Hyo ndo Man city ya bongo
 
Basi la kichina million 138 vat including so ni kawaida wanunue irizar polo ya brazil ndio tusifie mchezaji anakaa kwenye basi masaa 8 bila kuchoka
Kawaida unamaanisha nini????
That ; Chongo na kipofu wote sawa!!!!!! Siungi mkono hoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom