basi la azam fc

mshafika kwenye vyumba vya kambi yao ya mazoezi?...simba na yanga ni baadae sana kufika waliko jamaa
 
Safi sana,changamoto kwa timu zetu nyingine wazee wa double coaster...
Kuna tofauti kubwa kati ya timu ya mtu binafsi(ukoo) na timu za wanachama unakosea sana unapofananisha simba.yanga na azam,unatakiwa kuifananisha azam na tp mazembe ya moses katumbi cos ni club zinazo milikiwa na mtu,simba na yanga zitabaki kuwa lengend timu cos hapa mapato zinapokutana zinyewe hufika hadi bilioni,so mabac yetu yanakuja kwa udhamini wa tbl,tunaipongeza azam na si kutubeza sisi kwa mafanikio yao ss tunayachukua kama changamoto tu,ila sio kutubeza
 
tatizo hizi simba na yanga mikakati yake si endelevu kwani inakuwa kama kikundi cha siasa kisichokuwa na dira... kuna mambo ya kuiga kutoka kwa azam .. uongozi, mipango na utekelezaji
 
Azam fc inaweza ikafika mbali kama hizi fitna za kibongo zikiwekwa kando au wakiweza kuzihimili
 
Simba wakongwe wewee, hebu tembelea hapa uone vitu. Tangia hapo hao Azam ni vijana wetu!

161938_183975918302028_4229925_q.jpg

duh mkuu big up,sikujua kama na sisi tupo fiti kiasi hichi,kitu kipo upTodate hivi wale wenzetu wenye kampuni sijui vp?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya timu ya mtu binafsi(ukoo) na timu za wanachama unakosea sana unapofananisha simba.yanga na azam,unatakiwa kuifananisha azam na tp mazembe ya moses katumbi cos ni club zinazo milikiwa na mtu,simba na yanga zitabaki kuwa lengend timu cos hapa mapato zinapokutana zinyewe hufika hadi bilioni,so mabac yetu yanakuja kwa udhamini wa tbl,tunaipongeza azam na si kutubeza sisi kwa mafanikio yao ss tunayachukua kama changamoto tu,ila sio kutubeza

Kwa ufahamu wangu mabadiliko ya kimiundombinu ya kawaida kama mabasi ya kusafirisha wachezaji yanawezekana kwenye timu zinazomilikiwa na watu binafsi na hata zile zinazoendeshwa kwa mfumo wa kampuni.Sijafananisha Azam na timu yeyote hususa na sijabeza timu yeyote bali natoa changamoto kwa timu zote zinazoshiriki league kuu ya Tanzania bara na hata Zanzibar,suala ni kujipanga kwani nimeona baadhi ya timu zikipoteza mapato makubwa sana kwa kukodi mabasi badala ya kufanikisha umiliki na hivyo kupunguza gharama kubwa za msimu mzima.Uko sawa kabisa kuchukulia hatua hii ya Azam kama changamoto.
 
la kwetu walevi wameambiwa waongeze bia 5 kila siku kwa miezi 4 tu TBL watatununulia , naomba wanywa kilimanjaro ongezeni speed kdg jamani muda unaenda,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom