Madereva wa Newforce wanaendesha magari bila kuzingatia usalama wa abiria na mali wana overtake za kipuuzi sana juzi nilipanda DZU ya Tunduma yaani dreva anaendesha gari kwa fujo pasipo kuzingatia sheria
Hivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka watakapojirekebisha?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo,kutakuwa na shida mahali si bure...
Hivi hiyo njia hakuna mabasi mengine zaidi ya hayo,kwanini wasafiri wasiyasusie tu na kupanda kampuni nyingine mpaka wajirekebishe?watu wanakufa,watu wanapata vilema lakini wanaendelea kusafiri nayo,kutakuwa na shida mahali si bure...
Maandalizi ya kuleta fleet mpya ya mabasi.
Hapo analipa kwa installment tu. Idadi ya liter za damu inayohitajika ikitimia mtasikia wameingiza bus 100 mpya.