Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,349
- 44,948
Kwa hiyo Kilimanjaro ndiyo wamejua leo hili tatizo?kwa nini huongelei barabara ?
kama hujawahi kuendesha hata gari dogo kutoka mkoa kwenda mkoa huwezi kuelewa
highway zetu ni single lane, kila baada ya dakika tano kumi dereva unalazimika kufanya life and death decision ya ku overtake... nchi nyingine katikati ya barabara kuna barrier.... hakuna overtake za kukutana uso kwa uso na gari la upande wa pili... tatizo moja kubwa ni barabara