Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
jamaaa mmoja alikuwa kaketi kwake anachek mpira ,bac si muda kamjia mkewee ,akamwambia mume wangu hebuu itengezee hiyoo
taa hapo sebuleni imeharibika,mume kwa hasira akamwambia mie nachek mpira wanijia nitengeze taa wanifananisha na fundi umeme nini,mke
kaguna mhh baada si muda tena kaja tena honey wangu hebuu kitengeze kile kiti kimevunjika,mume kafyona sana wewee vipi mbona
wakera sana waniona mie fundi seremala, mke masikini kaondoka ,baada ya muda karudi hee baba watoto wangu wee , hebu tengeza lile
tofali limetoka palee sehemu yakee ,mume kwa hasira kasimama na kumtukana wee vipi wanamkee ndio ulivyooambiwa hivyoo mie ni fundi
ujenzi, bac kwa hasira akatoka njee kwenda kuchek mpira restaurant baada ya muda akafikiri kwamba kafanya kosa majibu alomjibu
mke wake ,akarudi nyumbani akakuta kila kitu kimeshatengenezwa, taa inawaka kiti kiko powa, tofali limejengwa ,kwa mshangao
akamuliza mkewe nani katengeneza hapa,mkee c huyoo selee jirani yetu lakini kanipa na masharti ya kutengeneza , mume mhh masharti
gani ,mke nilale nae kwa saa moja ,au nimtengezee ice creem, mume yule selee mjingaa yaani umemtengezea ice creem sio,mke nyooo
wanidhania nani mie kiwanda cha bakhresa kutengezea watu ice creem >.. basi hapo mume ndio kaanza kulia