Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya?


Poa mkuu wanjelwa nitaitafuta
 
Last edited by a moderator:

Sasa hivi yapo yana pitia Mtera ukitokea Mwanza sio lazima ulale njiani. Mabasi ni Super Shem, Mbeya Express, Isamilo. Sasa hivi kuna direct connection Mwanza to Mbeya via Mtera.
 
Sasa hivi yapo yana pitia Mtera ukitokea Mwanza sio lazima ulale njiani. Mabasi ni Super Shem, Mbeya Express, Isamilo. Sasa hivi kuna direct connection Mwanza to Mbeya via Mtera.

Vipi mda wa kufika ni saa 6-9 usiku?
 
Mabasi yapo siku hizi yanapita barabara ya Dodoma -iringa bahati mbaya sikumbuki majina sababu si kuwa na interest nayo nilipoyaona Mbeya.

MWANZA via shy via singida via dom via mtera via iringa to MBEYA, mabasi ni 1. mbeya express, 2. networking, 3. supershem na mengne. nauli ni elfu 50 to elfu 60 (bargaining power) na utafika mda kuanzia saa 6 usiku up to saa 8 ucku. Ni bora amuombe kondakta ili awasiliane na watu walioko mby ili wamsaidie kupata gesti mapema.
pia kuna route ya MWANZA via tabora via chunya to MBEYA, basi ni moja tu la sabena km bado lpo. Karibu sana home kwetu mby the green city
 
Guest house nianchie mm utalala kwangu? Au unataka guest ya bei gani ktk hizi? Kuna 4,000/7,000/10,000/12,000/15,000/20,000/25,000/30,000/40,000/50,000/ na kuendelea usalama ktk hizi guest umezingatiwa pia shikia nanenane au stand mpya utanipata kirahisi karibu Mbeya.
 

Asante sana mkuu hilo basi la sabena nalo linafika mda huohuo linalopita mwanza - tabora - chunya - mbeya mjini?
 

Usiogope mkuu nitakushtua, Vipi ni double, single au self? pia kuna kideo, internet,breakfast au?
 
Asante sana mkuu hilo basi la sabena nalo linafika mda huohuo linalopita mwanza - tabora - chunya - mbeya mjini?

Hilo linawahi kabla ya hayo mengne, lenyewe linafika kuanzia saa 4 na nusu usiku
 
Naona mmeamua kumdanganya....Mwanza Mbeya basi mi moja tu SUPERSHEM;Mbeya express na Isamilo wamewahi ibia mara mbili tu...nauli ni 51000 hadi 55000....kuingia Mbeya ni kuanzia saa saba kama hakuna police njiani.....NIMEINGIA MWANZA JUMAMOS ILIYOPITA NIMEFIKA SAA KUMI ALFAJIRI...NMIMEINGIA MBEYA LEO KUTOKA MWANZA SAA TISA NA ROBO.....kwa usalama wa viungo vyako kama makalio na miguu PANDA GARI YA DODOMA lala hapo;kesho yake PANDA GARI YA MBEYA....la sivyo itaichukia Mbeya au mwanza kabla hata hujafika Mbeya...na utamtukana sana dereva ila SUPERSHEM sio gari ni guta utafika umenyooka.OVER
 

Kna pamba mja ya princess muro dar mwanza iko poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…