Basi gani zuri la Mwanza kwenda Dodoma

Basi gani zuri la Mwanza kwenda Dodoma

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
habari wana jf je ni basi gani linatoa huduma nzuri kutoka dodoma kwenda mwanza??
 
nadhani fast jet au panda najumuissa au zubery
 
Kuna Bunda express na Mohamed trans yanaanzia hapo Dom!
 
Kuna Bunda express na Mohamed trans yanaanzia hapo Dom!

Mkuu mtu asikudanganye upande Mohammed trans utajuta, magari mabovu kupindukia na hayahaminiki. Jana basi la mwanza-dar lilikufa pale Shinyanga na walipoleta lingine ni saa 5 asbh toka saa 2. Kufika Dom ni saa 12 na ushee. Nafikiri Dar waliingia saa 7 hivi usiku.


Source: Mimi mwenyewe
 
Kama hutaki kuamka mapema panda super sami au bunda bus yanatoka mwanza sa3 nakufika dodoma xaa1 jion, kama utawahi asubuhi xa12 uaweza panda isamilo, simiyu,happy nation ili uingie dodoma xa9 mchana
 
Back
Top Bottom