Basi gani zuri kutoka Arusha kwenda Kigoma?

Basi gani zuri kutoka Arusha kwenda Kigoma?

Panda arusha mpk kahama(Jordan) kisha utaunganisha kutokea kahama au nenda mpk nyakanazi kama muda unaruhusu unganisha basi lolote kwenda kigoma.
 
Panda NBS hadi Tabora then unganisha na Saratoga hadi kigoma, ni njia rahisi zaidi kuliko kuzinguka Nyakanazi
 
Arusha Kigoma kuna kampuni mbili zinaenda nazo ni Coastline na Mohamed Classic na unafika siku hiyo hiyo hao wanaokushauri maswala ya kulala njiani hayafai
 
Back
Top Bottom