Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Kuna miaka Allys ilikuwa inasumbua sana hiyo njia, sijui kwa sasa kama hilo basi lipo bado...
Amerudi kwa kasi ya ajabu na amemwaga gari za kutosha dar mwanza....dar simiyu....dar shinyangaWamefilisika kwa nnavyoskia japo sina uhakika
Amerudi kwa kasi ya ajabu na amemwaga gari za kutosha dar mwanza....dar simiyu....dar shinyanga
Itakua darlux
Wamefilisika kwa nnavyoskia japo sina uhakika
Habari ya mujini wanaitwa tungis , wako vizuri dar lux akasome , ni kampuni mpya wako fasta sana
Tungi wana mabus mazuri na kisasa ila hawaendi mbio kama kisboHabari ya mujini wanaitwa tungis , wako vizuri dar lux akasome , ni kampuni mpya wako fasta sana