Bus zuri la scania na sio michina kwa sasa ni Saibaba ya Nairobi.Nilifurahia sana,Ukitaka kuwahi sana na ikiwezekana mpaka kaburini ni BM,2014 tar 17 December kutokea Morogoro-Arusha BM walituingiza porini ila hatukuumia.Kilimanjaro wako poa ila usiwe na haraka.