Basi gani linafika mapema kwa safari ya Dar es Salaam - Mwanza

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari za asubuhi wana JF? Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani pamoja na familia zenu.

Lengo kubwa la uzi ni kwamba natarajia kusafiri kwenda mkoani Mwanza siku ya Jumatatu.

Hivyo ndugu zanguni naomba kujua ni basi gani ni zuri na lina uhakika wa kufika Mwanza mapema.

Ahsanteni sana.
 
Panda ally hasa mpya zile DV ndo zinawahi kufika mwanza, japo ata ally nyingne zpo vzuri
 
Ili ufike mapema mkuu, panda ndege tu , hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…