GE2025 Bashungwa: Atakayejaribu kuvuruga uchaguzi kesho atakutana na kisiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote kesho, tarehe 29 Oktoba 2025.

Bashungwa ameyasema hayo leo, tarehe 28 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaifa, ikiwa ni siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

“Kesho, Oktoba 29, hakutakuwa na shida yoyote. Vyombo vya usalama vilivyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi, vipo timamu nchi nzima. Usalama umeimarishwa, kwa hiyo Watanzania tuende tukapige kura bila kuwa na wasiwasi wowote. Na yeyote atakayethubutu kuvuruga amani, atakutana na kisiki,” amesisitiza Bashungwa.

Aidha, Bashungwa ametoa wito kwa vijana kujitokeza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo, akiwataka pia kujiepusha na vitendo au vishawishi vyovyote vinavyoweza kuvuruga amani, akisisitiza kuwa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi imebainisha fursa nyingi mahsusi kwa ajili ya vijana.

Palipofikia hakuna anaogopa hata.. Tukiona hizi message tunacheka kwa dharauuu. Bashungwa kuna gift yako, malizia ngebe dk za mwisho
 
Haya ndiyo matatizo Watanzania tunayakataa kila siku kuhusu Katiba mbovu ya mwaka 1977! Katiba ambayo inashindwa kuitenganisha ccm na vyombo vya dola mfano polisi!!

Sasa hapo yupo kwenye kampeni za chama chake, lakini anatoa tamko la kitisho kwa kofia ya Waziri wa mambo ya ndani, na ambayo polisi wako chini yake! Huu ujinga ndiyo wananchi wenye akili timamu tunaukataa siku zote.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote kesho, tarehe 29 Oktoba 2025.

Bashungwa ameyasema hayo leo, tarehe 28 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaifa, ikiwa ni siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

“Kesho, Oktoba 29, hakutakuwa na shida yoyote. Vyombo vya usalama vilivyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi, vipo timamu nchi nzima. Usalama umeimarishwa, kwa hiyo Watanzania tuende tukapige kura bila kuwa na wasiwasi wowote. Na yeyote atakayethubutu kuvuruga amani, atakutana na kisiki,” amesisitiza Bashungwa.

Aidha, Bashungwa ametoa wito kwa vijana kujitokeza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo, akiwataka pia kujiepusha na vitendo au vishawishi vyovyote vinavyoweza kuvuruga amani, akisisitiza kuwa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi imebainisha fursa nyingi mahsusi kwa ajili ya vijana.

Bashungwa kuna siku you will face firing squard
 
Kesho shughuli ni kupiga kura tu, tujitokeze kwa wingi tuweke kumbukumbu nzuri ya kudumu
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote kesho, tarehe 29 Oktoba 2025.

Bashungwa ameyasema hayo leo, tarehe 28 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaifa, ikiwa ni siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

“Kesho, Oktoba 29, hakutakuwa na shida yoyote. Vyombo vya usalama vilivyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi, vipo timamu nchi nzima. Usalama umeimarishwa, kwa hiyo Watanzania tuende tukapige kura bila kuwa na wasiwasi wowote. Na yeyote atakayethubutu kuvuruga amani, atakutana na kisiki,” amesisitiza Bashungwa.

Aidha, Bashungwa ametoa wito kwa vijana kujitokeza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo, akiwataka pia kujiepusha na vitendo au vishawishi vyovyote vinavyoweza kuvuruga amani, akisisitiza kuwa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi imebainisha fursa nyingi mahsusi kwa ajili ya vijana.

Huyu naye na domo lake lililokwenda upande tutalinyoosha kesho
 
Huyu ni mmoja wa mashetani waliosababisha vifo vya ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom