Hivi hii tume wajibu wake ni upi?
Kesi ya bashite itafika mwaka bila ya wao kufanya lolote.
Bashite ameshutumiwa kama kiongozi wa umma kwa makosa
Kwanini idara hii iendelee kuwepo na kuuongezea umma mzigo wa matumizi ya kodi zao wakati wao hawana lolote wanalolifanya?
Kesi ya bashite itafika mwaka bila ya wao kufanya lolote.
Bashite ameshutumiwa kama kiongozi wa umma kwa makosa
- Kufanya upendeleo na kutomtaja msanii maso**nge kwenye kesi ya madawa ya kulevya kwa kuwa ana mahusiano naye ya kimapenzi
- Hili ni kosa la kimaadili
- Bashite Huyo kashutumiwa kwa kufoji na kutumia vyeti na matokeo ya kodato cha nne ya mtu mwingine. Lakini Hadi leo tume ya maadili ipo kimya
- Bashite ana kesi ya uvamizi wa kituo cha TV, bado hawa jamaa wamekuwa mabubu
- Bashite anashutumiwa ku-blackmail watu na kuwatishia kuwapa kesi ya madawa ya kulevya na hivyo kuwalazimisha wampe pesa au Malí na ushahidi wa awali ulitolewa .... Jamaa bado wamekausha
- Bashite amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma akitumia lucha zisizo na stara na bado haojiwi
- Bashite aligoma kuhojiwa na tume iliyoundwa na waziri na hakuna wa kumgusa
- Bashite anashutumiwa kuwa na Malí zisizoelezeka kutokana na kipato chake lkn yeye bado yupo huru hakuna wa kumuuliza.
Kwanini idara hii iendelee kuwepo na kuuongezea umma mzigo wa matumizi ya kodi zao wakati wao hawana lolote wanalolifanya?