Ndio anazidi kuonesha ujuha wake.. Tayari yuko kwenye blacklist ya marekani. Angekaa kimya aachane na hizi faraja za kitoto ana tuhuma za mauaji hayuko salama.. Hao wanaomlinda wakimchoka yatamtokea yaliyompata Charles Taylor Nigeria
Charles Taylor ni Liberia Mkuu Mshana Jr. Otherwise nakubaliana nawe kwa hoja yako.
Hata Jonas Savimbi walivyomchoka baada ya kumtumia kuivuruga Angola wakamchuuza na kum expose kwa jeshi la AMPLA akauliwa kikatili kama yeye alivyokua akiuwa wengine
Akihukumiwa kifo au kifungo maisha fidia gani utapata toka kwake?
Simple logic .
Ofisi ni kubwa kuliko Makonda , pambana kujenga alama mpya kuliko kutumbua macho kwa Makonda.
Wenye akili wananielewa.