Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Sio mitandao ya kijamii tu, mimi hiyo habari nimeipata kwa kina BBC swahili live bila chenga
 
“Ni kama sehemu ya utaratibu wa kawaida wa Katibu Mkuu kukutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa wanachama.”

WaTanzania hawa mnaowaona mazuzu kiasi hiki mmewafugia wapi?

Yaani kweli waTanzania tumefikia hatua ya kudharauliwa kiasi hiki?

Hatuwezi kuwa na akili hata chembe za kufikiri na kujua ni nini maana ya maneno yanayotamkwa na hawa watu, mpaka watufafanulie au tupewe maana wanayopenda wenyewe tuikubali?

Nchi hii imekuwa ya ajabu sana.
 
Membe kamtisha Magu....hahaaaa! mtu yuko nje ya uongozi unadai anakuhujumu wakati vyombo vyote vya usalama vinakuzunguka...si aishie jela tu. Naye Membe hilo sura lake hilo...inamponza sana...limekaa kiUrais Rais sana...ilitakiwa awe Ikulu huyo najua hata huko G20 wangemwalika atoe neno kwa heshima ya late Mwl Julius.
 
Ni CCM hii ninayoijua kufanya maamuzi kwenye vikao badala ya kusemana hadharani ndiyo sasa viongozi wake wanatetea kusemana wasiwasi kwenye vyombo by a habari na mitandaoni!

Nilimsikia Katibu Mkuu wa CCM akisema hana simu ya Membe. Unaweza amini hiyo?
 
Hizo ndo akili za ccm,pole sana
 
nyuki akumbatiwi kama senene Kumthibiti Membe kwa kutumia mitandao ni kumkuza jina , Rais amteue balozi nchini urusi au korea akae huko huko kama alivyofanya kwa Nchimbi maana Nchimbi Mzee wa fitina kama angelikuwapo sasa hivi ingekuwa balaa
 
Acha lije nchini lione cha mtemakuni
Uwiii
 
nyuki akumbatiwi kama senene Kumthibiti Membe kwa kutumia mitandao ni kumkuza jina , Rais amteue balozi nchini urusi au korea akae huko huko kama alivyofanya kwa Nchimbi maana Nchimbi Mzee wa fitina kama angelikuwapo sasa hivi ingekuwa balaa
Ahhh wapi
Acha wanaume wafanye kazi wewe chutama kijana mdogo!
 
Inashangaza wengine chadema humu ila wanashabikia hili swala hapo ndio utagundua tanzania upinzani bado!!!bado saana!!
 
JPM:: ni stable man! Anawachora tu! Mambo sio rahisi kama mnavyodhani. Kwakuwa katiba ya chama inaruhusu hivi na hivi ndio mnadhani atatingishika alegeze? [emoji41][emoji41]day dream! Mtamponza tu huyo membe.
 
Huyu chakubanga bora angeuchuna tu, KM amemuita Membe kwa njia isiyo sahihi na pia amemtwika tuhuma nzito za kumhujumu Mh.Rais halafu anasema ni jambo la kawaida, yaani KM na huyu chaku wote ndiyo wale wale aliosema Zitto.
Nasikia Membe alisema hawezi kwenda kumuona Bashiru kwa sababu ya njia aliyotumia kumuita kwa maana ya kutumia media/mitandao ya kijamii, hivi Membe akiacha kwenda watamfanyaje ?
 
Kitu wanacho sahau ni kwamba, aliye muita Membe alitaja na sababu za kumwita kwamba ana muhujumu Rais Magufuli, saiz imekua mara umoja na mshikamano, mara korosho, yani full kujikanyaga


Ha ha ha ha umenfanya nicheke kwa sauti ya juu... yaani unasahau kabisa LUMUMBA na kiongozi wao mkuu wote ni ZERO brain, kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…