Nashukuru kwa kunijuza.Udini ni pamoja na kuingiza mambo ya mahakama ya kadhi kwenye ilani ya uchaguzi..usini ni pamoja na ku create vyeo kupendelea wasiokuwa na sifa lakjbi kwa shinikizo la bakwata
Umewapa za usoHivi kuna msomi anayeshindwa kutofautisha kauli hizi 'Tutawapatia katiba mpya ndani ya siku 100'' na "Tutaanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100' na akaendelea kukubalika kuwa ni msomi?
Halafu ni wananchi gani waliokatishwa tamaa na CHADEMA kusimamia nidhamu kupitia katiba yake? Aseme amekata tamaa yeye binafsi na maswahiba wake waliokiuka katiba kwa utovu wa nidhamu kisha wakaadhibiwa.Aache kuwatumia watanzania kufikisha ujumbe wake binafsi na kikundi cha watu wachache.Unafiki wawasomi nchi hii ni usaliti mkubwa kwa taifa
Unapoleta maada unapaswa kuwa neutral ili upate wachangiaji wengi yaan ulivyo onyesha tu kwamba uko upande wa mbowe na babu nilisikia harufu mbaya kama umefunja yai viza.
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha
Huyu prof kila siku yeye ni kukosoa tu wala hatoi solution. Juzi nmeona channel ten akikosoa serikali tatu.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Eti! CHADEMA imepata miscarriage?!

Hivi kuna msomi anayeshindwa kutofautisha kauli hizi 'Tutawapatia katiba mpya ndani ya siku 100'' na "Tutaanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100' na akaendelea kukubalika kuwa ni msomi?
Halafu ni wananchi gani waliokatishwa tamaa na CHADEMA kusimamia nidhamu kupitia katiba yake? Aseme amekata tamaa yeye binafsi na maswahiba wake waliokiuka katiba kwa utovu wa nidhamu kisha wakaadhibiwa.Aache kuwatumia watanzania kufikisha ujumbe wake binafsi na kikundi cha watu wachache.Unafiki wawasomi nchi hii ni usaliti mkubwa kwa taifa
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha
Baadhi ya watu kama huyu ndio wanaofanya kauli za udini zitoke, hapo anamaanisha tamaa imekatwa kwa ajili ya zzk kuondolewa? Hivi mbona kafulila hakushabikiwa kiasi hiki! Tena basi yeye hatukuona taarifa zake zozote za kupewa mapesa na kuhongwa ili asaliti chama chake au akae kimya kwenye maswala ya madini kama huyu aliyezoa mapesa kwenye machimbo na serikalini? naanza kufikiri kuwa wengi wanaomshabikia zzt au ni udini ama wale washabiki wa chama tawala, kama zuberi angekuwa na dini ya kafulila usingeona wengi wakifoka na kutoa conculusion kama za huyu anayejiita mhadhiri wa chuo, nawasifu na kuwaheshimu waislam wanaosimamia kweli na haki daima. Haya ni mawazo yangu mimi
mangatara elimu yako tafadhali! Au ndo standard seven kubishana na prof
Hivi ni kwa nini wafuasi wa Mbowe wanauchukia ukweli?
hIZI ZINAWEZA KUWA CHUKI BINAFSI KWA BASHIRU....KANJANJA KWENYE NIN SASA?KWA SABABU HANA PhD?MI NAAMINI HATA WEWE UNAJUA KWAMBA NI MIONGON MWA WACHAMBUZI MAHIRI WA SAYANSI YA SIASA AMBAYE SI TU HUTAACHA KUMSKIA KWENYE HADHARA NYINGI ZA WANAZUONI HAPA NCHINI ILA HATA RADIO ZA NJE YA NCHI.....ZAIDI YA HAO pHD HOLDERS UNAOWAJUA.....DISCUSS ISSUES AND NOT PERSONSProf? Huyu mpuuzi hana hata PhD uprof kautoa wapi? For the record, alikuwa admitted kufanya PhD 2004 ila mpaka leo status yake ni no-PhD. Majuzi kapandishwa cheo kuwa lecturer thanks to his good religion na connections za kihaya kwa Mukandala maana kwa sheria mpya huwezi kupata u-lecturer bila PhD (zamani akina Wamba dia Wamba waliruhusiwa). KWa kifupi huyu jamaa ni kanjanja na kumfananisha na Haroub Othman ni kutukana watu bila sababu. KWanini asiisifu CCM inayom-promote to the highest level of incompetency? By the way mie sio CHADEMA wala CCM. Tofauti na wajinga wengi, nimejifunza kukataa ushabiki wa vyama wakati wanaokula ni akina Mbowe na Kikwete. Watanzania futeni tongotongo ndipo mtaendelea vinginevyo mtabaki ivyo mlivyo hoe hae au mtabaki na option moja aliyochukua Bashiru Ally ya kuwimbia mashairi watawala ili wampe vyeo asivyostaili. I am out!!!