Bashiru Ally ulitakiwa uanike wazi madudu ya akina Nape CCM ona saa hii wanavyotamba utafikiri wasafi

Nape anazungumzia Mali za taifa wewe unazungumzia Mali za CCM, Mali za CCM zikajadiliwe bungeni izo ni akili matope, dust dust, izo Mali za CCM mtajadili kwenye chama , si tunachohitaji kufahamu ela za
Nape anazungumzia Mali za taifa wewe unazungumzia Mali za CCM, Mali za CCM zikajadiliwe bungeni izo ni akili matope, dust dust, izo Mali za CCM mtajadili kwenye chama , si tunachohitaji kufahamu ela za mkopo zimetumika vipi, Mana tuliambiwa kwamba sisi ni donor country. Nape yupo sahihi.
Mali za CCM wanatoa wapi hao CCM kama hiyo ONE BIL. nayo walijimilikisha je?
 
Tangu JPM amefariki tunazidi kuona wimbi la wasaliti na wanafiki likizidi kuongezeka kila uchao.

Wale waliokuwa seat za mbele kama spika Ndugai na wengine wengi tu, leo wananchi hatuamini tunachokisikia kutoka vinywani mwao.

Lakini kuna kundi lingine ambalo lina kisasi na mwenda zake hayati JPM.

Aidha kwa kukutana na maamuzi yake yaliyokuwa na msimamo usioyumbishwa au kwa kutumbuliwa nyadhifa zao.

Wa hivi karibuni kabisa ni Nape nauye mbunge wa mtama huko lindi ambaye pia yuko kundi la Membe anayejiita kachero mbobezi.

Ninaomba nimuogelee zaidi Nape,kwa sababu amejitoa akili na kupayuka ovyo bungeni akitilia mashaka deni la taifa lilillokopwa na serikali awamu ya Tano ikiongozwa na JPM, makamu wake akiwa ni Rais wa sasa mh Samia suluhu hassan.na waziri wa fedha wakati huo akiwa ni makamu wa sasa wa rais Dk Mpango.

Sitaki kujadili zaidi sababu tayari kuna thread humu zimekwishadadavua ulinganifu wa deni na ukubwa wa miradi iliyotekelezwa na awamu hiyo ya tano.

Kwa uchache tu, Ndege Mpya 11 za ATCLnazingine5 zikisubiriwa.,Mradi wa SGR,Mradi wa bwawa la NYERERE HYDROELECTRIC DAM,

Daraja la Busisi ziwa victoria,Daraja la salender TANZANITE Dar es salaam, meli mpya ziwa victoria, ukarabati wa Mv victoria, ukarabati wa reli ya kati na ununuzi wa baadhi ya mabehewa,

Ujenzi wa flyover za ubungo na barabara ya njia nane ubungo kimara,ujenzi wa stendi mpya mwanza,Dar es salaam.na morogoro.

Uhamishaji wa serikali kwenda Dodoma,ujenzi wa miundombinu makao makuu Dodoma,ujenzi wa mabweni ya wanafunzi UDSM,Ujenzi wa nyumba za wakaazi wa magomeni quarters.

Miradi ni mingi na utajaza kurasa nyingi ili kuimaliza.

SASA NAPE KAMA ANAMUONA JPM ALIIBA.NA YEYE AKUBALI RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA MALI ZA CCM ILIYOONGOZWA NA DK BASHIRU,

ILETWE BUNGENI NA ISOMWE TUONE UBADHIRIFU WAKE NA IKIBIDI WOTE WALIOFUNIKIWA KOMNE KAMA YEYE WAWAJIBISHWE UPYA.

Nimemaliza.
Acha upuuzi tunataks tujue matumizi ya mkopo wa 9trilion
 
Kelele zote zenye tuhuma kutoka mtoto wa kuasili wa Brigedia Moses Nnauye dhidi ya awamu ya tano ya hayati JPM zinathibitisha haya
1. Wapinzani wa Tanzania hawakuwa wanamchukia JPM kamwe ila ni wanasiasa wa CCM wasio waadilifu waliozibiwa mirija ya wizi
2. Chuki binafsi na kwamba msamaha alioomba kule ikulu ya Dar ilikuwa ni unafiki
3. Katumwa kupima iwapo bado kuna watu wanamtetea hayati JPM au la kisha wengine zaidi wajitokeze hata wale ambao hukutarajia kuwa kumbe miaka yote mitano chini ya JPM alikuwa tayari hata kuondoa uhai wake
4. Miradi iliyowekezwa nchini na kuonekana kwa kila mtanzania kuanzia mdogo hadi kikongwe Jchini ya utawala wa hayati JPM kwa kipindi cha miaka mitano tu ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kutawala Tanzania tangu uhuru (mpaka sisimizi na mashahidi) kufufua kitu kilichokufa na kilihitaji nusu karne kuweza lakini ndani ya muda kikaonekana hai ni maajabu. Ni kweli wanaolalamika kama alivyokuwa akilalamika Mtanzania mwingine kukosa kipato cha kutosha lakini kilichozuiwa kwenda kwa watu binafsi serikali ilikiwekeza kama miundo mbinu wezeshi kwa kila mmoja kuinuka kwa kusisima kwenye msingi huo. Sio kazi rahisi kufufua reli, shirika la ndege, kuboresha meli za umma, vituo vya afya kila wilaya na tarafa, shule, ongezeko la watoto shule za msingi, sekondari kwa kulipiwa ada na serikali lakini pia pamoja na kipato kubanwa watumishi wote wa umma na serikali walikuwa wakilipwa mishahara kwa muda kuanzia tarehe 21 hadi 25 ya kila mwezi. Kuhamishwa kwa vitendo makao makuu ya serikali kwenda Dododma haikuwa kazi rahisi lakini iliwezekana. Ujenzi wa bwawa la uzalishaji umeme huko Rufiji haikuwa kazi rahisi.

Makundi matatu inawezekana yamemtuma kuropoka kupima joto bila kujua ni kwa kiasi gani watamgawana
1. Chingaz
2. Ngalawaz
3. Changanyaz

Moto aliouwasha atajuta kukubali kutumwa
 
Tangu JPM amefariki tunazidi kuona wimbi la wasaliti na wanafiki likizidi kuongezeka kila uchao.

Wale waliokuwa seat za mbele kama spika Ndugai na wengine wengi tu, leo wananchi hatuamini tunachokisikia kutoka vinywani mwao.

Lakini kuna kundi lingine ambalo lina kisasi na mwenda zake hayati JPM.

Aidha kwa kukutana na maamuzi yake yaliyokuwa na msimamo usioyumbishwa au kwa kutumbuliwa nyadhifa zao.

Wa hivi karibuni kabisa ni Nape nauye mbunge wa mtama huko lindi ambaye pia yuko kundi la Membe anayejiita kachero mbobezi.

Ninaomba nimuogelee zaidi Nape,kwa sababu amejitoa akili na kupayuka ovyo bungeni akitilia mashaka deni la taifa lilillokopwa na serikali awamu ya Tano ikiongozwa na JPM, makamu wake akiwa ni Rais wa sasa mh Samia suluhu hassan.na waziri wa fedha wakati huo akiwa ni makamu wa sasa wa rais Dk Mpango.

Sitaki kujadili zaidi sababu tayari kuna thread humu zimekwishadadavua ulinganifu wa deni na ukubwa wa miradi iliyotekelezwa na awamu hiyo ya tano.

Kwa uchache tu, Ndege Mpya 11 za ATCLnazingine5 zikisubiriwa.,Mradi wa SGR,Mradi wa bwawa la NYERERE HYDROELECTRIC DAM,

Daraja la Busisi ziwa victoria,Daraja la salender TANZANITE Dar es salaam, meli mpya ziwa victoria, ukarabati wa Mv victoria, ukarabati wa reli ya kati na ununuzi wa baadhi ya mabehewa,

Ujenzi wa flyover za ubungo na barabara ya njia nane ubungo kimara,ujenzi wa stendi mpya mwanza,Dar es salaam.na morogoro.

Uhamishaji wa serikali kwenda Dodoma,ujenzi wa miundombinu makao makuu Dodoma,ujenzi wa mabweni ya wanafunzi UDSM,Ujenzi wa nyumba za wakaazi wa magomeni quarters.

Miradi ni mingi na utajaza kurasa nyingi ili kuimaliza.

SASA NAPE KAMA ANAMUONA JPM ALIIBA.NA YEYE AKUBALI RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA MALI ZA CCM ILIYOONGOZWA NA DK BASHIRU,

ILETWE BUNGENI NA ISOMWE TUONE UBADHIRIFU WAKE NA IKIBIDI WOTE WALIOFUNIKIWA KOMNE KAMA YEYE WAWAJIBISHWE UPYA.

Nimemaliza.
Kwani ccm mmekosa sehemu ya kuisoma hiyo ripoti yenu mpaka mpaka mbebeshe mzigo wananchi wa tanzania?
 
Pasco maneno hayo....siku ukipewa uteuzi utakata? Au utayameza maneno yako?
Muulize mwenzio Bashiru
Mimi na Bashiru ni tofauti sana, Bashiru alikuwa UDSM sijui kama amewahi to make any money zaidi ya mshahara, mimi nilikuwa nalipa kodi ya Ma Ma Wakurugenzi 2, Ma RC 3, na Ma DC 5!, niteuliwe ili iweje?. Kitu muhimu ni kurudishiwa tuu zile tenda zangu, tumsaidie Samia kuwalipa mishahara hao wakurugenzi wake 2, ma RC watatu na ma DC 5!.
P
 
Hivi Takukuru huwa hawahusiki kwenye kashifa za matumizi mabaya ya Mali za vyama?
 
Tangu JPM amefariki tunazidi kuona wimbi la wasaliti na wanafiki likizidi kuongezeka kila uchao.

Wale waliokuwa seat za mbele kama spika Ndugai na wengine wengi tu, leo wananchi hatuamini tunachokisikia kutoka vinywani mwao.

Lakini kuna kundi lingine ambalo lina kisasi na mwenda zake hayati JPM.

Aidha kwa kukutana na maamuzi yake yaliyokuwa na msimamo usioyumbishwa au kwa kutumbuliwa nyadhifa zao.

Wa hivi karibuni kabisa ni Nape nauye mbunge wa mtama huko lindi ambaye pia yuko kundi la Membe anayejiita kachero mbobezi.

Ninaomba nimuogelee zaidi Nape,kwa sababu amejitoa akili na kupayuka ovyo bungeni akitilia mashaka deni la taifa lilillokopwa na serikali awamu ya Tano ikiongozwa na JPM, makamu wake akiwa ni Rais wa sasa mh Samia suluhu hassan.na waziri wa fedha wakati huo akiwa ni makamu wa sasa wa rais Dk Mpango.

Sitaki kujadili zaidi sababu tayari kuna thread humu zimekwishadadavua ulinganifu wa deni na ukubwa wa miradi iliyotekelezwa na awamu hiyo ya tano.

Kwa uchache tu, Ndege Mpya 11 za ATCLnazingine5 zikisubiriwa.,Mradi wa SGR,Mradi wa bwawa la NYERERE HYDROELECTRIC DAM,

Daraja la Busisi ziwa victoria,Daraja la salender TANZANITE Dar es salaam, meli mpya ziwa victoria, ukarabati wa Mv victoria, ukarabati wa reli ya kati na ununuzi wa baadhi ya mabehewa,

Ujenzi wa flyover za ubungo na barabara ya njia nane ubungo kimara,ujenzi wa stendi mpya mwanza,Dar es salaam.na morogoro.

Uhamishaji wa serikali kwenda Dodoma,ujenzi wa miundombinu makao makuu Dodoma,ujenzi wa mabweni ya wanafunzi UDSM,Ujenzi wa nyumba za wakaazi wa magomeni quarters.

Miradi ni mingi na utajaza kurasa nyingi ili kuimaliza.

SASA NAPE KAMA ANAMUONA JPM ALIIBA.NA YEYE AKUBALI RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA MALI ZA CCM ILIYOONGOZWA NA DK BASHIRU,

ILETWE BUNGENI NA ISOMWE TUONE UBADHIRIFU WAKE NA IKIBIDI WOTE WALIOFUNIKIWA KOMNE KAMA YEYE WAWAJIBISHWE UPYA.

Nimemaliza.
Ccm ya mataga/lucifer bhana,deni la taifa linawahusu watanzania wote na mali za ccm pambaneni ccm wenyewe

Halafu nyie SAWUKUMA kwann mnapenda ligi sana
 
Kwani ni awamu gani ambayo haikukopa? Bora JPM alikopa Trillion tisa na bado inaonekana matumizi yake kuliko wale waliokopa trillions of money na bado hatukuona chochote cha maana kilichoendana na thamani ya mikopo yao.
 
Tangu JPM amefariki tunazidi kuona wimbi la wasaliti na wanafiki likizidi kuongezeka kila uchao.

Wale waliokuwa seat za mbele kama spika Ndugai na wengine wengi tu, leo wananchi hatuamini tunachokisikia kutoka vinywani mwao.

Lakini kuna kundi lingine ambalo lina kisasi na mwenda zake hayati JPM.

Aidha kwa kukutana na maamuzi yake yaliyokuwa na msimamo usioyumbishwa au kwa kutumbuliwa nyadhifa zao.

Wa hivi karibuni kabisa ni Nape nauye mbunge wa mtama huko lindi ambaye pia yuko kundi la Membe anayejiita kachero mbobezi.

Ninaomba nimuogelee zaidi Nape,kwa sababu amejitoa akili na kupayuka ovyo bungeni akitilia mashaka deni la taifa lilillokopwa na serikali awamu ya Tano ikiongozwa na JPM, makamu wake akiwa ni Rais wa sasa mh Samia suluhu hassan.na waziri wa fedha wakati huo akiwa ni makamu wa sasa wa rais Dk Mpango.

Sitaki kujadili zaidi sababu tayari kuna thread humu zimekwishadadavua ulinganifu wa deni na ukubwa wa miradi iliyotekelezwa na awamu hiyo ya tano.

Kwa uchache tu, Ndege Mpya 11 za ATCLnazingine5 zikisubiriwa.,Mradi wa SGR,Mradi wa bwawa la NYERERE HYDROELECTRIC DAM,

Daraja la Busisi ziwa victoria,Daraja la salender TANZANITE Dar es salaam, meli mpya ziwa victoria, ukarabati wa Mv victoria, ukarabati wa reli ya kati na ununuzi wa baadhi ya mabehewa,

Ujenzi wa flyover za ubungo na barabara ya njia nane ubungo kimara,ujenzi wa stendi mpya mwanza,Dar es salaam.na morogoro.

Uhamishaji wa serikali kwenda Dodoma,ujenzi wa miundombinu makao makuu Dodoma,ujenzi wa mabweni ya wanafunzi UDSM,Ujenzi wa nyumba za wakaazi wa magomeni quarters.

Miradi ni mingi na utajaza kurasa nyingi ili kuimaliza.

SASA NAPE KAMA ANAMUONA JPM ALIIBA.NA YEYE AKUBALI RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA MALI ZA CCM ILIYOONGOZWA NA DK BASHIRU,

ILETWE BUNGENI NA ISOMWE TUONE UBADHIRIFU WAKE NA IKIBIDI WOTE WALIOFUNIKIWA KOMNE KAMA YEYE WAWAJIBISHWE UPYA.

Nimemaliza.
Hayati Magufuli hajatuhumiwa kuiba na wala Nape hajatoa tuhuma za wizi.
Kuna Imani iliyojengwa wakati wa awamu ya tano kwamba miradi na mambo mengi yalifanywa kwa makusanyo ya ndani ya nchi.
Sasa hoja ya Nape ni kwamba" kwa nini deni la taifa liliongezeka sana wakati huo? Ilitegemewa lipungue na kwa hiyo ufanywe uchunguzi kujua kilichoongeza deni hilo.
 
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani
Ajaribu kumwaga ugali halafu wazoefu wamwage mboga. Bashiru ni mchanga sana kwenye siasa usimuweke kwenye kundi la wazoefu wa chama Chao Cha CCM.

Hawezi kujaribu aisee Kuna mmoja ameshika mpini mwingine kashika jembe
 
Nimeongelea kuwa hawakutenda haki yeye na Magufuli pia na Mama Samia ile ripoti baada Raisi na makamu wake Samia na Bashiru walitakiwa wa take action bila kujali tofauti zao na mitizamo yao kwa faida ya nchi na chama

Na blame wote.Mama Samia ripoti anayo aibwage hadharani sababu Magufuli kafa aseme tu kila aliyetajwa ripoti vyombo vya dola wale naye sahani moja Ni kubwagia Hilo ripoti vyombo vya dola biashara imeisha atakuwa kasaidia nchi kupata wabunge na viongozi waadilifu .Hilo tabu amtupie kamanda Sirro
 
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye

Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi

Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona Sasa akina Nape wanatamba sana utafikiri hawajawahi kuwa wezi kuibia CCM

Ripoti ile itolewe hadharani
Mkuu baado nawe akili Yako ni ya malumbano ya kimakundi,

Itatuchukua miaka mingi sana kuendelea KWA huu upuuzi wa maccm
 
Tangu JPM amefariki tunazidi kuona wimbi la wasaliti na wanafiki likizidi kuongezeka kila uchao.

Wale waliokuwa seat za mbele kama spika Ndugai na wengine wengi tu, leo wananchi hatuamini tunachokisikia kutoka vinywani mwao.

Lakini kuna kundi lingine ambalo lina kisasi na mwenda zake hayati JPM.

Aidha kwa kukutana na maamuzi yake yaliyokuwa na msimamo usioyumbishwa au kwa kutumbuliwa nyadhifa zao.

Wa hivi karibuni kabisa ni Nape nauye mbunge wa mtama huko lindi ambaye pia yuko kundi la Membe anayejiita kachero mbobezi.

Ninaomba nimuogelee zaidi Nape,kwa sababu amejitoa akili na kupayuka ovyo bungeni akitilia mashaka deni la taifa lilillokopwa na serikali awamu ya Tano ikiongozwa na JPM, makamu wake akiwa ni Rais wa sasa mh Samia suluhu hassan.na waziri wa fedha wakati huo akiwa ni makamu wa sasa wa rais Dk Mpango.

Sitaki kujadili zaidi sababu tayari kuna thread humu zimekwishadadavua ulinganifu wa deni na ukubwa wa miradi iliyotekelezwa na awamu hiyo ya tano.

Kwa uchache tu, Ndege Mpya 11 za ATCLnazingine5 zikisubiriwa.,Mradi wa SGR,Mradi wa bwawa la NYERERE HYDROELECTRIC DAM,

Daraja la Busisi ziwa victoria,Daraja la salender TANZANITE Dar es salaam, meli mpya ziwa victoria, ukarabati wa Mv victoria, ukarabati wa reli ya kati na ununuzi wa baadhi ya mabehewa,

Ujenzi wa flyover za ubungo na barabara ya njia nane ubungo kimara,ujenzi wa stendi mpya mwanza,Dar es salaam.na morogoro.

Uhamishaji wa serikali kwenda Dodoma,ujenzi wa miundombinu makao makuu Dodoma,ujenzi wa mabweni ya wanafunzi UDSM,Ujenzi wa nyumba za wakaazi wa magomeni quarters.

Miradi ni mingi na utajaza kurasa nyingi ili kuimaliza.

SASA NAPE KAMA ANAMUONA JPM ALIIBA.NA YEYE AKUBALI RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA MALI ZA CCM ILIYOONGOZWA NA DK BASHIRU,

ILETWE BUNGENI NA ISOMWE TUONE UBADHIRIFU WAKE NA IKIBIDI WOTE WALIOFUNIKIWA KOMNE KAMA YEYE WAWAJIBISHWE UPYA.

Nimemaliza.
Mwenzenu naomba shule kidogo.Hivi legacy Ni kitu gani?Naona mnatuchanganya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom