Mkuu asante sana maana sisi wapika chapati wa Kwamtogole tunamjua Magufuli, Diamond na Ali KibaNi Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,idara ya Sayansi ya Siasa.Na pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Mbona Baregu mnaye huko chadema na hakuna anayeshangaaB
Bashiru Ali kawa ccm siku hizi kweli umaskini unaua weledi na imani
Hujawahi ata kuota unasoma udsm etii??Bashiru Ali ni nani?
Usijali jirani.Mkuu asante sana maana sisi wapika chapati wa Kwamtogole tunamjua Magufuli, Diamond na Ali Kiba
Pale wanakwenda wenye correct headsHujawahi ata kuota unasoma udsm etii??
Mmmh! Ni wewe unayejibu???Pale wanakwenda wenye correct heads
Not true,Pale wanakwenda wenye correct heads
Yes,we will stay tuned.Ila dah,Bashiru kuwa Katibu mkuu wa CCM si sahihi kwake.Ingekuwa appropriate kama ange-stick to his profession,kwanza inampa heshima zaidi,politics is not dependable.With politics anything is possible, unaweza kufukuzwa mchana kweupe.Ila sasa shida ni kwamba hawezi kama kweli katateuliwa, kumkatalia Rais.Kwa Bashiru ni dilemma frankly.Wakongwe wa jamvi hili mtakumbuka.
JK akiwa Mwenyekiti wa CCM alisumbuliwa sana na mitandao iliyoongozwa na JF. CCM ikakosa ushawishi na kuelekea kumfia mikononi. Akaunda tume ndogo iliyoongozwa na Wilson Mukama. Tume hiyo ikajifungia na kuja document kubwa. JK akaipitia juu juu na kuja na mapendekezo yaliyozaa kujivua gamba.
Kama shukrani au ule usemi wa "Mchawi mpe mtoto akulelee", JK akamteua Wilson Mukama kuwa Katibu Mkuu wa CCM akimwacha nje mzee Makamba.
"Nimesikia" kuwa Mwenyekiti wa sasa yuko njiani kupeleka jina la Bashiru Ali kuwa Katibu Mkuu mpya wa chama na kazi yake kubwa itakuwa kusimamia urejeshwaji wa mali za chama zilizoibwa au kuuzwa kimizengwe. Je Bashiru atafanikiwa? CCM siku hizi limekuwa darasa la kutolea lecture kama lile la Mlimani alilozoea Bashiru?
Stay tuned
hakuna MTU yuko opposition kwa njaaMbona Baregu mnaye huko chadema na hakuna anayeshangaa
Ana muda gani tangu ajiunge na CCM? Ni active member au ni wale wa kuwa na kadi tu mfukoni kwa ajili ya kuvizia uteuzi?Mhadhiri fulani wa UDSM.
ahsante mkuu SDG kwa kinihabarishaAlishatunukiwa PhD japo aliisotea sana,alikuwa Tutorial Assistant wa Prof Mukandala
Mbona hata Jaji mkuu mst.Agustino Ramadhan alipostaafu tu akaingia kuusaka urais kupitia Ccm.Na michujo mingine alipita kuonesha kuwa alikuwa active member wa muda mrefu.Nadhani kama ulivyosema jamaa huenda anakadi zaidi ya 3 na ametegesha kotekote kusaka fursa.Ana muda gani tangu ajiunge na CCM? Ni active member au ni wale wa kuwa na kadi mfukoni kwa ajili ya kuvizia uteuzi?
Hahahahaha! Lazima anayo kadi ya CUF Zanzibar!Mbona hata Jaji mkuu mst.Agustino Ramadhan alipostaafu tu akaingia kuusaka urais kupitia Ccm.Na michujo mingine alipita kuonesha kuwa alikuwa active member wa muda mrefu.Nadhani kama ulivyosema jamaa huenda anakadi zaidi ya 3 na ametegesha kotekote kusaka fursa.
Interview ya kitu gani? Kwa akili yako unafiki kipimo cha ubora wa chuo ni nyie mlofanya hiyo interview ? Panua fikira zako dogo. Kwa hiyo tumaini ni bora kuliko udsm kwa vipimo vyovyote uunavyovijua?Mmmh! Ni wewe unayejibu???
Udsm mkwala hawana lolote vilaza kibao nimesoma nao wamemaliza pale wako hovyo..!
Tulifanya interview 5 bora usm hajaingia ata mmoja, 3 udom, 1 sua na mwingine tumain. Udsm namba saba walitakiwa mtu 5 tuu. Hawana kitu.
Sasa mamia ya graduate wa udsm, mnagaragazwa maana yake nini?? Ushamba wako endelea kukalili.Interview ya kitu gani? Kwa akili yako unafiki kipimo cha ubora wa chuo ni nyie mlofanya hiyo interview ? Panua fikira zako dogo. Kwa hiyo tumaini ni bora kuliko udsm?
Kwa hiyo mkuu unanishauri nikae mbali na huyo Prof. vinginevyo nitasota sana. Kwani huyu amesotea hiyo PhD (Permanent Head Damage) kwa miaka mingapi?Alishatunukiwa PhD japo aliisotea sana,alikuwa Tutorial Assistant wa Prof Mukandala