Mzee Bashir, Kwani wakati unaponunua icho kifurushi hawajakwambia kama kina expire lini? Ndio kuna vile vigezo na masharti kuzingatiwa ambavyo hatuoneshwi.
Mengine naunga mkono hoja, kuna moja ambalo hili ndio linaniudhi sana. matumizi ya neno UNLIMITED. yaani mtandao unanadi wanakupa UNLIMITED kumbe GB 1